Unyanga
JF-Expert Member
- Feb 6, 2011
- 402
- 83
Naomba msaada wa kufahamishwa juu ya tatizo linalonisumbua la kuumwa kichwa kila mara ninapoamka usingizini, na ninapofanya kazi kwa muda mrefu kwenye laptop, au ninapoangalia tv hasa kwenye vibanda umiza ambapo mwanga huwa mdogo zaid ya ule wa tv peke yake! Naomba msaafa tafadhali