Poluyakhtov
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 358
- 300
Habari za muda huu wana JF.
Naombeni ushauri juu ya tatizo hili.Ni siku ya 7 sasa nimekuwa nikihisi maumivu upande wa kulia na kadri siku zinavyoendelea maumivu yanaonekana kusambaa mpaka upande wa kulia wa mgongo.Na wakati wa kunywa maji au kumeza chakula napata maumivu makali sana.
Tatizo hili lilianza baada ya kuamka,kwani nilipitiwa na usingizi nikiwa nimeegemea meza kutokana na harakati za kujisomea.
Mwanzoni nilikuwa nikijaribu kujinyoosha nasikia mbavu zikitoa mlio kama mti mkavu unapovunjwa lakini sasa hata nikifanya hivyo hakuna mlio wowote.
Naombeni mnishauri ni dawa gani naweza kuitumia ili kuondoa tatizo hili.