Maumivu ya kifua upande wa kushoto

Maumivu ya kifua upande wa kushoto

Joined
Apr 26, 2018
Posts
27
Reaction score
3
Habari wa J.f
nimepatwa na tatizo la kusikia maumivu upande wa kifua mkono wa kushoto, maumivu haya nilianza kuyasikia asubuhi nilifanya mazoezi ya push sana na skwashi..je tatizo hili linatokana na nini wazee na nini solution.
 
Back
Top Bottom