K kashimir Mussa Member Joined Apr 26, 2018 Posts 27 Reaction score 3 Apr 28, 2018 #1 Habari wa J.f nimepatwa na tatizo la kusikia maumivu upande wa kifua mkono wa kushoto, maumivu haya nilianza kuyasikia asubuhi nilifanya mazoezi ya push sana na skwashi..je tatizo hili linatokana na nini wazee na nini solution.
Habari wa J.f nimepatwa na tatizo la kusikia maumivu upande wa kifua mkono wa kushoto, maumivu haya nilianza kuyasikia asubuhi nilifanya mazoezi ya push sana na skwashi..je tatizo hili linatokana na nini wazee na nini solution.