gashambala uwezo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 485
- 67
Mke wangu ana maumivu ya kifua kwa muda mrefu sasa, na tumefanya jitihada za kuwaona waganga,
hatujafanikiwa, tumeenda sekotoure, mwananchi na bugando hosp (zote hizi ziko mwanza) pote hapa hakuna kabisa mafanikio yoyote.
Ameisha pigwa picha,ya kifua, ameishapimwa moyo pengine wakidhania anaweza kuwa na ugonjwa wa moyo
wakasema moyo uko safi, hakika ana maumivi makali sana.
Sana sana kipindi cha baridi, na wakati mwingine kifua kinaweza kumuumiza hadi kikapitiliza hadi mgogoni. (picha ya kifua walisema kifua kiko sawa).
MAAJABU; kama anaujauzito tatizo hili huisha kabisa hadi atakapojingua mtoto na linaweza kuanza kuanza baadaye.
Pili kama anafanya kazi hamna shida hadi anapopumuzika sana sana usiku.
Khali kadhalika na matatizo ya , maumivu ya kichwa , vipindi , vipindi si mwendelezo katika ya utosi wake
tatu , kuna dawa fulani huwa ana andikiwa bugando anapozimeza kusema ukweli tatizo huisha, lakini ni kwa muda tu,na baadaye tatizo hurejea tena.
Naweza sema mpaka sasa hatujapa tiba halisi na ugonjwa bado madakitari hawajaufahamu.
Naombeni msaada wenu tafadhali.
Ahsanteni.