Maumivu ya kifua

Maumivu ya kifua

gashambala uwezo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
485
Reaction score
67
Mke wangu ana maumivu ya kifua kwa muda mrefu sasa, na tumefanya jitihada za kuwaona waganga,
hatujafanikiwa, tumeenda sekotoure, mwananchi na bugando hosp (zote hizi ziko mwanza) pote hapa hakuna kabisa mafanikio yoyote.

Ameisha pigwa picha,ya kifua, ameishapimwa moyo pengine wakidhania anaweza kuwa na ugonjwa wa moyo
wakasema moyo uko safi, hakika ana maumivi makali sana.

Sana sana kipindi cha baridi, na wakati mwingine kifua kinaweza kumuumiza hadi kikapitiliza hadi mgogoni. (picha ya kifua walisema kifua kiko sawa).

MAAJABU; kama anaujauzito tatizo hili huisha kabisa hadi atakapojingua mtoto na linaweza kuanza kuanza baadaye.

Pili kama anafanya kazi hamna shida hadi anapopumuzika sana sana usiku.

Khali kadhalika na matatizo ya , maumivu ya kichwa , vipindi , vipindi si mwendelezo katika ya utosi wake
tatu , kuna dawa fulani huwa ana andikiwa bugando anapozimeza kusema ukweli tatizo huisha, lakini ni kwa muda tu,na baadaye tatizo hurejea tena.

Naweza sema mpaka sasa hatujapa tiba halisi na ugonjwa bado madakitari hawajaufahamu.

Naombeni msaada wenu tafadhali.

Ahsanteni
.
 
Je anakosa pumzi akishikwa na hicho kifua?kifua kinaambatana na makohozi au ni kikavu?tatizo hilo analo kwa muda gani?ameshawahi kuwa exposed na kemikali za aina zozote kwa mfumo wa moshi kwa mfano air pollution?ameshapima au kuchekiwa kama ana uzio wa chochote?
 
Hakosi pumzi, anapumua vizuri
wala hana kihozi , hata kama kikiwepo ni kile tu cha kawaida, ambacho mimi nawewe twa weza kukipata
awala haja exposed na kemikali zozote.

Kuchekiwa kama ana uzio wa chochote?__________Hapa sijakuelewa vizuri ulichoniuliza.
ila kama nilivyo tangulia kusema, ameishapima vipimo kama vya aina tatu
1. kipimo cha kifua
2.vipimo vya moyo aina mbili;
(a) kipimo hiki tulipewa kalasi ndefu hivi ya rangi kama ya pic yenye mistari ya draft, harafu inamichilizi inayoelekea kulia iayoshuka na kupanda, dakitari aliandika hivi, simus bradyarch,
rate 50mm
std v4 v5
ninawezekana nikawa nimekosea si, unajua tena mwandiko

wa kiganga, unisamehe.

(b) kipimo cha pili ni cha echocardiography report

Dakitari amendika hivi; Nomal chambers, valves, Aotic root and PAs. Good LV- systohe function (ef 79%). no swA
in lait WS and IAs. Nomal iVS and pencanddww.

Dopplet parameters e/a' N , mv are N
peak Aortic Flow N oters NO PAH

colour Doppler . No any valvulr regurgitra....../shuats

conclusion Normal Echo

kwa upande wa dawa aliziandikiwa ni: Pirsec
Tramadol 50mg po bd 5 kwa 7

shida , hii anayo kama miaka minne.

Asanteni sana
 
Hivo vipimo ulivyoandika ni vya moyo,kutokana na maelezo yako inaonekana kama ana ischemic heartfailure /heart arythmi lakini vipimo vinaonesha opposite,nashauri achukuliwe kipimo cha BNP/pro-BNP!akachukuliwe CT-scan ya mapafu,apimwe peak flow,FEV1/FVC!
Dawa aliyopatiwa ni ya kupunguza maumivu(moderate pain) awe makini na matumizi au atajenga tolerance !tolerance ni kutopata nafuu na dosage za kawaida atakuwa anahitaji dosage kubwa zaidi with time!
 
Ninakushuru sana , nitafanyia kazi ushauri wako
Mungu akuzidishi maisha marefu, Dada yangu

Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom