age yake? 25 -28
ilianza lini? 2-3 months now
ulifanyiwa upasuaji huko nyuma? nope
relation na chakula? vyakula vya kawaida kwa watz (wali,ugali,ndizi,nyama,samaki, chapati mikate etc)
homa? nope
amepungua uzito? kwa sasa ameongezeka zaidi ya kilo 3-5
matatizo mengine ya kiafya? some times period ina overlap kuanza (1,2-3 days)
kajaribu dawa/vipimo? sn huwa anakunywa maji ya moto na kupaka asali kuzunguka eneo la kitovu (huwa inamsaidia sn akiwa home/ akiwa kazini ni issue kdg
kisha tutakuwa na picha kamili na ku-suggest matibabu
la sivyo muwahishe kcmc ya huko aliko.