AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 18
Tafadhali naomba kujulishwa yepi ni matibabu sahihi ya kuondoa tatizo la maumivu ya kitovu kwa wanawake; hilo tatizo halijalishi anakaribia period au yupo kawaida.
Huwa tatizo linatokea tu (for 1-3 days) then baadae linapotea lenyewe baadae; ila maumivu yanakuwa makali hadi mtu analia km hana roho ngumu ya kuvumilia.
Huwa tatizo linatokea tu (for 1-3 days) then baadae linapotea lenyewe baadae; ila maumivu yanakuwa makali hadi mtu analia km hana roho ngumu ya kuvumilia.