Jaman nahitaji msaada ujauzito wangu sasa ni week ya 39, ninapofanya zoezi la kutembea naumia sana kiuno na chini ya kitovu hadi nikikaa kusimama naumia sana chini kunakuwa kunavuta kwa maumivu makali sana, nikitembea kama dk 20 naanza kutembea kwa kujivuta nakuwa nashindwa kutembea normal, msaada wenu madoctor plz