Maumivu ya kiuno na chini ya kitovu

Maumivu ya kiuno na chini ya kitovu

Ruth Benson

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
9
Reaction score
2
Jaman nahitaji msaada ujauzito wangu sasa ni week ya 39, ninapofanya zoezi la kutembea naumia sana kiuno na chini ya kitovu hadi nikikaa kusimama naumia sana chini kunakuwa kunavuta kwa maumivu makali sana, nikitembea kama dk 20 naanza kutembea kwa kujivuta nakuwa nashindwa kutembea normal, msaada wenu madoctor plz
 
Jaribu kwenda hospitali watakupa maelekezo zaidi na watakusaidia.
 
Seeing the Doc is the best way forward. ASAP
 
Wah hosptatk ndugu icje ikaleta madhara kwa mtoto na wewe pia
 
Back
Top Bottom