Maumivu ya kiuno na miguu

Maumivu ya kiuno na miguu

galindas

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
978
Reaction score
1,305
Msaada tafadhali. Nimekuwa nikipata maumivu ya miguu hasa nikisimama bila movement, ila nikikaa au kulala sisikii maumivu yoyote. Tatizo linaweza kusababishwa na nini na matibabu yake yapoje.
 
Inawezekana kuwa ni calcium, pima damu kwanza

Jijengeevutaratibu wa kunywa glass ya maziwa fresh kabla hujalala
 
Asanteni, nafanyia kazi ushauri wenu
 
Back
Top Bottom