miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
Asante mkuuPole sana, nenda kwa daktari wa fiziotherapia na mifupa(Physiotherapy) utapewa msaada
SawaCheck pia pressure mama
Yeah nafanya kazi ya kukaa ofisini muda wote lakin najitahidi sana kutembea kidogo ili kunyoosha mwili. Kama niko busy sana sipati muda wa kunyoosha mwili miguu nayo inavimba sana.Unafanya kazi za ofisini zinazofanya ukae kwenye kiti kwa muda mrefu sana? Una kilo 85+?, Una pressure? Hizo zinaweza kuwa ni miongoni mwa sababu ila ni vizuri umuone daktari.
poa mkuuAsante mkuu
[emoji22][emoji22]usisahau kucheki figo pia hiyo ni red indicator
Itabidi tubadilishe style [emoji1]Mama badilisha style sasa
Sponji ipo mkuu.Kama kiti unachotumia hakina sponji inawezekana ndio source
Mambo yetu una fanya..?Hello guys.
Naomba Ushauri au tiba ya maumivu ya kiuno.
Nimekuwa nikipata maumivu kiunoni for almost a month now Kila nikikaa chini kiuno kinauma sana.
Sijafanikiwa kupata mtoto sasa nashangaa maumivu haya yanatoka wapi.
Mwenye uelewa wa hili anisaidie kwa mawazo au tiba yake.
Thanks.
Yes nafanya.Mambo yetu una fanya..?
Hakina matumizi makubwa.Kipunguzie matumizi
Ukiwa unafanya unahisi maumivu...???Yes nafanya.