Jonas hemed
Member
- Jul 23, 2018
- 21
- 6
FIRST BREAKUP IN RELATIONSHIP
MAKES FOREVER PAIN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kudeka mkuu...komaaaFIRST BREAKUP IN RELATIONSHIP
MAKES FOREVER PAIN
Tumetofautiana moyo mkuu #Kamata mtoto mzuri penda tena, penda kama vile haujawahi kupenda....yani kuwa serious na mapenzi
Eti eehInategemea ntu na ntu.
hapa nakupata viizur Mkuu coz kuanzia sasa nitakuwa makini kweli.Upendo ni kitu automatic mkuu ukisahau tu maumivu kamoyo kanapenda tena kwa speed ile ile ila this time unakua na tahadhari sio kama mwanzo.
Moyo ni ule ule labda kama tu mapenzi sio kipaumbele kwakoTumetofautiana moyo mkuu #
ayah bhana kama kutekwa ni kama movie za kihind vle🤣🤣🤣🤣🤣Dogo kamoyo kako kuna mtu amekakaanga?? 😀 😀 😀 😀 😀
Achana na mapenzi dogo fanya mambo mengine 😎Hahahahahah
ayah bhana kama kutekwa ni kama movie za kihind vle🤣🤣🤣🤣🤣
kumbe kufunguka huwa kunasaidia make ningeteseka kivyanguvyangu aseeh # sasa naanza kuelewa kwenye upande wa mahusianoMoyo ni ule ule labda kama tu mapenzi sio kipaumbele kwako
nikiacha mapenzi nitayakuta mbele hata iweje nibora kukomaa hivyo hivyo kaka,.Achana na mapenzi dogo fanya mambo mengine 😎
hapa ulifanyaje fanyaje coz ni kama mchezo umeumaliza kilain vile daaaah.!Mimi nilipigwa kibuti tena kwa maneno ya dharau sana, siku hiyo hiyo rafiki yake na yule mwanamke akajipendakeza halafu ni bonge la pisi kinoma. Mpaka sasa nipo nae mwaka wa tatu huu na tunapendana sana, mwakani tunaowana.
Ndio subiri moyo ukomae kwanzanikiacha mapenzi nitayakuta mbele hata iweje nibora kukomaa hivyo hivyo kaka,.
HaahaahaInategemea ntu na ntu.
huwa najiuliza changamoto pengine ni aina ya kazi ninayoifanya .Ndio subiri moyo ukomae kwanza
Nikuambie kitu dogo??huwa najiuliza changamoto pengine ni aina ya kazi ninayoifanya .