Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

apa nakupata
Upendo ni kitu automatic mkuu ukisahau tu maumivu kamoyo kanapenda tena kwa speed ile ile ila this time unakua na tahadhari sio kama mwanzo.
hapa nakupata viizur Mkuu coz kuanzia sasa nitakuwa makini kweli.
 
Mimi nilipigwa kibuti tena kwa maneno ya dharau sana, siku hiyo hiyo rafiki yake na yule mwanamke akajipendakeza halafu ni bonge la pisi kinoma. Mpaka sasa nipo nae mwaka wa tatu huu na tunapendana sana, mwakani tunaowana.
 
Hahahahahah
Dogo kamoyo kako kuna mtu amekakaanga?? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
ayah bhana kama kutekwa ni kama movie za kihind vle🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mimi nilipigwa kibuti tena kwa maneno ya dharau sana, siku hiyo hiyo rafiki yake na yule mwanamke akajipendakeza halafu ni bonge la pisi kinoma. Mpaka sasa nipo nae mwaka wa tatu huu na tunapendana sana, mwakani tunaowana.
hapa ulifanyaje fanyaje coz ni kama mchezo umeumaliza kilain vile daaaah.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…