Hiyo ni hali ya kawaida, itaisha...pia mwambie mpwa wako akiona mabadiliko yoyote kwenye mwili wake amwambie mama ake au ndugu wa kikeMimi si 'ke' mkuu...
Ni kawaida. ..yatapona yenyewe. Mtoto wetu yalianza kuota akiwa na 7yrs only. Tulimpeleka mpaka hospital kwa hofu
Ila ni maumbile tu hamna zaidi. Muwekeni sawa tu kisaikolojia akubaliane na hali
Hiyo ni hali ya kawaida, itaisha...pia mwambie mpwa wako akiona mabadiliko yoyote kwenye mwili wake amwambie mama ake au ndugu wa kike
Haaahaaa duuh we jamaa una vituko!Mama alifariki kiufupi tunalea sisi na madada wa kazi.... lakini nashukuru kwa ushauri wako kwa sisi ni msaada mkubwa. Mana hospitali walisema itaisha pia lakini mbona kama yanaendelea kukua?!
Si atakuwa na ziwa kubwa kuliko umri,!?
Huyo akifikisha 15 zitamfikia magotiniMama alifariki kiufupi tunalea sisi na madada wa kazi.... lakini nashukuru kwa ushauri wako kwa sisi ni msaada mkubwa. Mana hospitali walisema itaisha pia lakini mbona kama yanaendelea kukua?!
Si atakuwa na ziwa kubwa kuliko umri,!?
Khaaaaaa we mjomba wewe.....Mama alifariki kiufupi tunalea sisi na madada wa kazi.... lakini nashukuru kwa ushauri wako kwa sisi ni msaada mkubwa. Mana hospitali walisema itaisha pia lakini mbona kama yanaendelea kukua?!
Si atakuwa na ziwa kubwa kuliko umri,!?
Khaaaaaa we mjomba wewe.....
Ukubwa wa maziwa inategemea inawezekana akarithi kutoka kwenye family yakawa makubwa, maziwa yakiwa yanaota huwa yanauma Kwahiyo ni kawaida, wewe huna hata dada zako wanaoweza kuongea nae hayo? Au ndo akivunja na unga wewe ndo utamsaidia?
Hahahaha [emoji81] [emoji81] [emoji81]Seven years vinyonyo vinaota mhhhhh huyo akifikisha 9 yrs anakuwa MTU mzima
Mjomba hebu mwache mtoto maziwa yasijekuacha kuota bure, afu ni wewe huyo ndo wakumpashia huo mwiko? We mjomba wewe we mjomba wewe.....Dah! Mpaka nimecheka yaani......
tuko baridi kidogo lakini nitajivua nijichanganye na mabint ili mradi nisaidiwe. Hapa nimekwama mtoto mwenyewe ukikaona ni kamwili kadogo halafu kapole basi kama anaonewa vile!
kuna mtu kani pm eti nipashe moto mwiko halafu unabandika kwenye maziwa... zile kokwa zitayeyuka pole pole!
Aagh!
Bora homa utajua utibu vipi.
Mjomba hebu mwache mtoto maziwa yasijekuacha kuota bure, afu ni wewe huyo ndo wakumpashia huo mwiko? We mjomba wewe we mjomba wewe.....