Maumivu ya matiti machanga(yanayoanza kuota)

Pole sana uncle, tafiti zinaonyesha early puberty hasa kwa watoto wa kike zina changiwa na mambo makubwa 2
1. Obesity
2. Chemicals - angalia aina ya vyakula mnavyomlisha, (na je alinyonya kwa mama yake vya kutosha?au mlikuwa mnampa maziwa ya kopo?) inawezekana kabisa amekuwa exposed na chemicals zinazovuga mfumo wake

Cha kufanya anzeni kuwa nae karibu na kumuangalia kwa umakini, mtoto wa umri huo ni rahisi sana kuwa abused na wanaume hasa wakishaona viziwa vimechomoza, na akaogopa kusema. Hata wewe uncle pia uwe makini sasa uache kumchungulia chungulia kifua chake hasa pale maziwa yatakapochomoza hata shetani hatapata nguvu
 
Mjomba hebu mwache mtoto maziwa yasijekuacha kuota bure, afu ni wewe huyo ndo wakumpashia huo mwiko? We mjomba wewe we mjomba wewe.....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ass
Pole sana uncle, tafiti zinaonyesha early puberty hasa kwa watoto wa kike zina changiwa na mambo makubwa 2
1. Obesity
2. Chemicals - angalia aina ya vyakula mnavyomlisha, (na je alinyonya kwa mama yake vya kutosha?au mlikuwa mnampa maziwa ya kopo?) inawezekana kabisa amekuwa exposed na chemicals zinazovuga mfumo wake

Cha kufanya anzeni kuwa nae karibu na kumuangalia kwa umakini, mtoto wa umri huo ni rahisi sana kuwa abused na wanaume hasa wakishaona viziwa vimechomoza, na akaogopa kusema. Hata wewe uncle pia uwe makini sasa uache kumchungulia chungulia kifua chake hasa pale maziwa yatakapochomoza hata shetani hatapata nguvu

Maziwa ya mama hakunyonya, katumia ya kopo na ng'ombe! Na mipipi pipi ndio anapenda sana
Na anafurahia sana mwenyewe.
Huyu mtoto tumelea kwa shida mkuu hakuna mama wala dada. Atokee shetani mtu kumuumiza naona jela itahusika naua mazima labda nisimjue.!
Sawa wacha yakue nifanyaje!
Lakini kule kuletewa kesi yanamuuma na kweli anakosa furaha basi itaisha lini?
Mbona adha hii maana naishia kumpa vidonge vya kutuliza maumivu. Inamsumbua....
Nimevisha pempers mwenyewe siezi pata bilisi.

Asante kwa ushauri nimekuelewa!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hata mimi nilicheka sana.......
napiga huo mwiko sasa nifanyaje?
Labda yataacha kumuuma eti!
 
Ass

Maziwa ya mama hakunyonya, katumia ya kopo na ng'ombe! Na mipipi pipi ndio anapenda sana
Na anafurahia sana mwenyewe.
Huyu mtoto tumelea kwa shida mkuu hakuna mama wala dada. Atokee shetani mtu kumuumiza naona jela itahusika naua mazima labda nisimjue.!
Sawa wacha yakue nifanyaje!
Lakini kule kuletewa kesi yanamuuma na kweli anakosa furaha basi itaisha lini?
Mbona adha hii maana naishia kumpa vidonge vya kutuliza maumivu. Inamsumbua....
Nimevisha pempers mwenyewe siezi pata bilisi.

Asante kwa ushauri nimekuelewa!
Hiyo hali itaisha tuu mkuu, maziwa ya mama ni muhimu sana katika ukuaji wa mtoto, haya mavyakula ya viwandani yanawafanya hadi wanaume wanaota maziwa kwa kuwa chemicals zina athiri hormones
 
Hali ya kawaida kwa upande wangu maziwa yaliwahi sana kuanza kukua na yakawa makubwa kuliko umri wangu lakini kadri muda ulivyoenda yakaanza kupungua pole pole hadi now yapo kawaida tu
 
Asante kwa ushauri...
ndio nikubali tu hakuna namna ndugu yangu!
Nimechoka!!
 
Hali hiyo ni kawaida ila yatakuja kuondoka halafu yakisharudi tena ndio yanakua moja kwa moja, usipate hofu kua atakua na maziwa makubwa.
 
Kaeni na huyo binti mumueleze hali halisi kuwa ni kawaida na baadae yataongezeka kukua
 
Kama kati2 ya kifua kajigawa tafuta mtu mzima amuone je, anakijembe pia hiyo ni hali ya normal tu kulingana na maumbile na kifua cha mtu ndgu
 
Back
Top Bottom