[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mjomba hebu mwache mtoto maziwa yasijekuacha kuota bure, afu ni wewe huyo ndo wakumpashia huo mwiko? We mjomba wewe we mjomba wewe.....
Pole sana uncle, tafiti zinaonyesha early puberty hasa kwa watoto wa kike zina changiwa na mambo makubwa 2
1. Obesity
2. Chemicals - angalia aina ya vyakula mnavyomlisha, (na je alinyonya kwa mama yake vya kutosha?au mlikuwa mnampa maziwa ya kopo?) inawezekana kabisa amekuwa exposed na chemicals zinazovuga mfumo wake
Cha kufanya anzeni kuwa nae karibu na kumuangalia kwa umakini, mtoto wa umri huo ni rahisi sana kuwa abused na wanaume hasa wakishaona viziwa vimechomoza, na akaogopa kusema. Hata wewe uncle pia uwe makini sasa uache kumchungulia chungulia kifua chake hasa pale maziwa yatakapochomoza hata shetani hatapata nguvu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo hali itaisha tuu mkuu, maziwa ya mama ni muhimu sana katika ukuaji wa mtoto, haya mavyakula ya viwandani yanawafanya hadi wanaume wanaota maziwa kwa kuwa chemicals zina athiri hormonesAss
Maziwa ya mama hakunyonya, katumia ya kopo na ng'ombe! Na mipipi pipi ndio anapenda sana
Na anafurahia sana mwenyewe.
Huyu mtoto tumelea kwa shida mkuu hakuna mama wala dada. Atokee shetani mtu kumuumiza naona jela itahusika naua mazima labda nisimjue.!
Sawa wacha yakue nifanyaje!
Lakini kule kuletewa kesi yanamuuma na kweli anakosa furaha basi itaisha lini?
Mbona adha hii maana naishia kumpa vidonge vya kutuliza maumivu. Inamsumbua....
Nimevisha pempers mwenyewe siezi pata bilisi.
Asante kwa ushauri nimekuelewa!
Kuwai kuota kwa matiti haimanish ukubwa wake utaongezeka kadri umri unavyoendaSeven years vinyonyo vinaota mhhhhh huyo akifikisha 9 yrs anakuwa MTU mzima
Angalia mjomba asikapele.....Mjomba hebu mwache mtoto maziwa yasijekuacha kuota bure, afu ni wewe huyo ndo wakumpashia huo mwiko? We mjomba wewe we mjomba wewe.....