citizentz Member Joined Feb 25, 2015 Posts 13 Reaction score 11 Dec 27, 2015 #1 Mke wangu tokea jana jioni alipata maumivu ya ghafla ya mfupa wa paja la kushoto na yameendelea kuongezeka. Naomba msaada wa hili tatizo.
Mke wangu tokea jana jioni alipata maumivu ya ghafla ya mfupa wa paja la kushoto na yameendelea kuongezeka. Naomba msaada wa hili tatizo.
KATASAN'KAZA JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 3,097 Reaction score 1,356 Dec 27, 2015 #2 Kipindi mmaduu utakuwa ulimkandamiza sana! Uangalie wenda unamzidi uzito afu unaendekeza kifo cha cockroach...!
Kipindi mmaduu utakuwa ulimkandamiza sana! Uangalie wenda unamzidi uzito afu unaendekeza kifo cha cockroach...!