Kambiaso
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 145
- 120
Nina miaka 24 ni mpenzi sana wa footbal,kwa kipindi kirefu tangu nikiwa primary level nmekua nikicheza sana mpira bila matatzo yyte,nlivofiksha umri wa miaka 20 mifupa ya miguu ikaanza kuuma hasa nnapokimbia,ktk kujipa stamina zaidi pia nkawa nafanya weight lift kdg,baada ya mda nkaanza kupata maumivu kwnye mifupa ya mikono,naomba ushauri tatizo litakua ni nini? kwa sasa nmepunguza kiwango cha kufanya mazoezi na ningependa kufanya mazoezi ktk kiwango changu cha zamani ila maumivu ya mifupa yananirudsha nyuma.