Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Habari wana JF,
Leo siko vzuri aisee nahisi maumivu ya moyo huku upande wa kushoto mwa kifua.. Yaan kama inachoma hivi then inaacha.
So naomba mniambie dawa gani nitumie kwa tatizo/maumivu haya..
Nawasilisha.