Maumivu ya Njia ya mkojo

bkubwa

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
17
Reaction score
0
Habari wanajf nina kwa miezi saba nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya kibofu,njia ya mkojo,pumbu na uume nimezunguka sana hata kwa maurologist lakini sipata nafuu wala dawa nilizopewa hazijawahi kuniondolea maumivu.DVU,MRI nimefanya na pia CT scan ya mgongo mwanzoni niliambiwa nina urethra stricture lakini wakati was procedure haijaonekana.
 
Mkuu nakushauri uende Muhimbili au hospitali yoyote kubwa uonane na "SPECIALIST" kabisa umalize hilo tatizo maana wao ndo wanaweza kumaliza kitaalam zaid.
 
Mkuu nakushauri uende Muhimbili au hospitali yoyote kubwa uonane na "SPECIALIST" kabisa umalize hilo tatizo maana wao ndo wanaweza kumaliza kitaalam zaid.
Nimekutana na maspecialist tofauti tofauti was mkojo na mifupa
 
0652 175774 wasiliana na mwenye namba hiyo. ni mtabibu wale wa dawa zakisunna. Alinipatia dawa ilinisaidia sana kwa matatizo yanayofanana kama nayakwako.
 
0652 175774 wasiliana na mwenye namba hiyo. ni mtabibu wale wa dawa zakisunna. Alinipatia dawa ilinisaidia sana kwa matatizo yanayofanana kama nayakwako.
Anapatikana wapi na je gharama zake
 
Anapatikana wapi na je gharama zake

huyu nahisi ni mtu wa Tanga nafikiria, mtu wasafarisafari hatulii, ankuepo Tanga, Dar au Zanzbar. lakini namba yake ndio hiyo labda ukimueleza tatizo mnaweza mkafahamina.
Kuhusu gharama mie alinipatia kwa shilingi 5000. ila kwa saivi gharama zake ziwez kujua kama viko vilevile au zimebadilika. naamini mnaweza kufanya mawasiliana ata akakutumia kama upo mbali nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…