Habari wanajf nina kwa miezi saba nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya kibofu,njia ya mkojo,pumbu na uume nimezunguka sana hata kwa maurologist lakini sipata nafuu wala dawa nilizopewa hazijawahi kuniondolea maumivu.DVU,MRI nimefanya na pia CT scan ya mgongo mwanzoni niliambiwa nina urethra stricture lakini wakati was procedure haijaonekana.