Maumivu ya shingo baina ya kichwa na uti(mfupa) wa mgongoni

Maumivu ya shingo baina ya kichwa na uti(mfupa) wa mgongoni

Rashidi7

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
611
Reaction score
208
Habarini!
Nimepata tatizo tajwa hapo juu tangiwa nikiwa form five 2017 kwenye mwezi wa tatu. Nikaenda mnazi mmoja pale nikamwelezea Doctor,aliniandikia dawa na kunihasa nifanye mazoezi. Ila tatizo hilo ni kwamba bado linaendelea hadi leo hii. kwa wajuzi wa haya mambo jamani naomba msaada wa ushauri ikiwezekana na mawazo pia.
Asante.
 
Nenda MOI mkuu kwa maspecialist watasaidia kugundua tatizo hapo mnazi utakuwa ulionana na Dr general na kutokana na uchovu wa kuonana na watu wengi hakutaka kujichosha kukuchunguza zaidi

Pole sana mkuu
 
Gharama za MOI approximately??
 
Back
Top Bottom