Mi msichana miaka 25 nasumbuliwa na maumivu kwenye titi la kulia linauma nikilibonyeza upande wa kulia na nikilalia nahic ugumu flani hiv wa chuchu tofauti na jingine laweza kua tatizo gani mana halitoi chochote na halijabadilika rangi ila linamaumivu na hayo maumivu nikibonyeza km yako kwenye mishipa ya ziwa ya upande wa kulia na nikilalia nahisi huo ugumu ugumu wa chuchu. Nlishawai kwenda hospital mwaka jana na nkachek mpk utrasound wakanambia hakuna kitu labda mshtuko tuu na kweli liliacha sasa mwaka huu mwez wa tisa limeanza tena kuuma.msaaada plz