Maumivu ya titi

Maumivu ya titi

Flores

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
39
Reaction score
3
Mi msichana miaka 25 nasumbuliwa na maumivu kwenye titi la kulia linauma nikilibonyeza upande wa kulia na nikilalia nahic ugumu flani hiv wa chuchu tofauti na jingine laweza kua tatizo gani mana halitoi chochote na halijabadilika rangi ila linamaumivu na hayo maumivu nikibonyeza km yako kwenye mishipa ya ziwa ya upande wa kulia na nikilalia nahisi huo ugumu ugumu wa chuchu. Nlishawai kwenda hospital mwaka jana na nkachek mpk utrasound wakanambia hakuna kitu labda mshtuko tuu na kweli liliacha sasa mwaka huu mwez wa tisa limeanza tena kuuma.msaaada plz
 
Uongo wa daktar ni nafuu kwa mgonjwa,nakushaur uende na hospital zingine kwa uchunguzi na ushaur zaid,pole sana mrembo.
 
Uongo wa daktar ni nafuu kwa mgonjwa,nakushaur uende na hospital zingine kwa uchunguzi na ushaur zaid,pole sana mrembo.

thanx kwa ushaur ila nishaenda hospital karibia tatu ya kwanza alinambia mirija inayopitisha maziwa ina matatizo nkapewa dawa japo sijawah zaa wala kua na mimba nkaenda then nyingine better zaid ya ya kwanza wakanambia hakuna tatizo nkapewa dawa ya kutuliza maumiv ya tatu ndo nkachek na utrasound pia nkaambiwa hakuna tatizo. ndomana nkaja kuuliza hapa
 
Back
Top Bottom