Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa msaada wako...nitajaribu nione nikifanikiwa nitakuambia.Tumia maji ya moto,
kuna chupa kwa ajili ya kuifadhi maji ya moto kwa nje ni mpira kwa hiyo
ukiweka kwenye tumbo maumivu hupungua na kuacha kabisa kama huna chupa
unaweza tumia chupa za maji kama ni uhai au kilimanjaro unaweka maji alf
unaviringisha na taulo au kanga basi utapa hali ya umoto moto na
utalala vizuri sana. Kwa mimi ndio njia nzuri nayotumia jaribu na
wewe
hili halina dawa bwana ni kujikaza tu...kwani siku ngapi?Meza Meftal Spas......mara tatu kwa siku itakusaidia.......zaidi ya hapo kama hujapata mtoto.......jitahidi kufanya hivyo.......
Hizi dawa nishatumia mwanzo zilikuwa zinanisaidia ila siku zinavyozidi kwenda nikimeza hazinisaidii tena maumivu yako palepale...labda hilo la mtoto...nami natamani ila hivyo MUNGU bado hajanijalia.Meza Meftal Spas......mara
tatu kwa siku itakusaidia.......zaidi ya hapo kama hujapata
mtoto.......jitahidi kufanya hivyo.......
Duh!! kweli siyo siku nyingi ni chache tu ila hayo maumivu yake siyo madogo kama unavyofikiria wewe...maumivu ni makali sana...halafu tunatofautiana huenda yako huwa kidogo ndiyo maana unavumilia.hili halina dawa bwana ni kujikaza tu...kwani siku ngapi?
dawa huwa hazisaidii ukishakuwa sugu hazitibu tena nenda kwa dokta akucheki vizuri mirija kizazi nkDuh!! kweli siyo siku nyingi ni chache tu ila hayo maumivu yake siyo madogo kama unavyofikiria wewe...maumivu ni makali sana...halafu tunatofautiana huenda yako huwa kidogo ndiyo maana unavumilia.
Chemsha mchaichai unywe mara 3 kwa siku 5,tatizo litaisha ikishindikana ni PM nitakupa namba ya mama mmoja mwalimu atakupa dawa.