MJUMBE WA AMANI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 262
- 238
jaribu mazoez na pia kunywa maji ya kutosha before period. yaani anza kukeep active itakusaidia na uoge maji moto ukiwa period.pole sanaNdugu zangu wajumbe wa jukwaa salamu!
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya tumbo na mgongo pamoja na miguu kuwaka moto baada ya period.Kila nikienda hospitali kumwona Doctor naambulia painkiller na neurobion na kuambiwa tatizo langu litaisha.Cha kunishangaza hali inajirudia rudia.Sasa tatizo langu laweza kuwa nini?
Natanguliza shukrani zangu, natumaini nitapata msaada wenu.
Asante eh?olewa tuuuu
Asante Mkuu kwa ushauri wako, nitautilia maanani.bila kusahau kuepuka vitu cold kipindi hiko, chai moto ya tangawiz itakupa joto.mwilini na kurelease maumivu na kutowesha kabisa
Nione mimi nikupe dawa uweze kupona.Ndugu zangu wajumbe wa jukwaa salamu!
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya tumbo na mgongo pamoja na miguu kuwaka moto baada ya period.Kila nikienda hospitali kumwona Doctor naambulia painkiller na neurobion na kuambiwa tatizo langu litaisha.Cha kunishangaza hali inajirudia rudia.Sasa tatizo langu laweza kuwa nini?
Natanguliza shukrani zangu, natumaini nitapata msaada wenu.
Asante Mkuu, kweli jf ni kisima cha mema.Namshukuru Mungu nimeshapona.Pole sana ndugu, naamini hautatoka kapa hapa.
Asante mkuu kwa kunijulisha.Nimepona ila nashukuru kwa taarifa yako, ikitokea shida nitakutafuta.Nione mimi nikupe dawa uweze kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169