Maumivu ya tumbo na mgongo baada ya period

MJUMBE WA AMANI

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
262
Reaction score
238
Ndugu zangu wajumbe wa jukwaa salamu!
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya tumbo na mgongo pamoja na miguu kuwaka moto baada ya period.Kila nikienda hospitali kumwona Doctor naambulia painkiller na neurobion na kuambiwa tatizo langu litaisha.Cha kunishangaza hali inajirudia rudia.Sasa tatizo langu laweza kuwa nini?
Natanguliza shukrani zangu, natumaini nitapata msaada wenu.
 
jaribu mazoez na pia kunywa maji ya kutosha before period. yaani anza kukeep active itakusaidia na uoge maji moto ukiwa period.pole sana
 
bila kusahau kuepuka vitu cold kipindi hiko, chai moto ya tangawiz itakupa joto.mwilini na kurelease maumivu na kutowesha kabisa
 
Ndugu zangu wajumbe wa jukwaa salamu!
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya tumbo na mgongo pamoja na miguu kuwaka moto baada ya period.Kila nikienda hospitali kumwona Doctor naambulia painkiller na neurobion na kuambiwa tatizo langu litaisha.Cha kunishangaza hali inajirudia rudia.Sasa tatizo langu laweza kuwa nini?
Natanguliza shukrani zangu, natumaini nitapata msaada wenu.
Nione mimi nikupe dawa uweze kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Pole sana ndugu, naamini hautatoka kapa hapa.
 
Back
Top Bottom