Wataaramu naomba msaada me ni mjamzito wa miezi tisa lakn nasumbuliwa na maumivu ya mgongo,kiuno na tumbo lakn yanakuja yanakata halafu yanaanza tena baada ya masaa kadhaa naomba msaada kwa wenye uzoefu plz
Ukiona hivyo ujue mambo karibu yaanze. anza kuandaa mahitaji yako yote ya hospitali, kanga, msindikizaji, nani atabaki home etc. kesho au kesho kutwa kutaeleweka tu I hope although wakati mwingine ni false contractions ..
mh pole sana...mie rafiki yangu jana kapewa SP 3 clinic akameza na ana mimba ya miezi 5 tokea ameze tumbo linamsokota balaa km la uchungu sijui afanyeje
Hiyo ni fake labor huwa inafanana sana na labor yenyewe yaani ukihisi maumivu yanakuja na kuondoka kwa dakika 3-5 na yanazidi ujuwe kijacho anataka kuwasili unless ni fake labor kama nlivyokwambia awali.....