maumivu ya tumbo na mgongo kwa mjamzito

maumivu ya tumbo na mgongo kwa mjamzito

Happyness Mezzah

New Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Wataaramu naomba msaada me ni mjamzito wa miezi tisa lakn nasumbuliwa na maumivu ya mgongo,kiuno na tumbo lakn yanakuja yanakata halafu yanaanza tena baada ya masaa kadhaa naomba msaada kwa wenye uzoefu plz
 
Ukiona hivyo ujue mambo karibu yaanze. anza kuandaa mahitaji yako yote ya hospitali, kanga, msindikizaji, nani atabaki home etc. kesho au kesho kutwa kutaeleweka tu I hope although wakati mwingine ni false contractions ..

all the best
 
maumivu ya tumbo hasa usiku na mgongo na kiuno havina ushirikiano. Kiuno kinakaza sana.
Mimba ndo kwanza ina mwezi. Msaada
 
mh pole sana...mie rafiki yangu jana kapewa SP 3 clinic akameza na ana mimba ya miezi 5 tokea ameze tumbo linamsokota balaa km la uchungu sijui afanyeje
 
Hiyo ni fake labor huwa inafanana sana na labor yenyewe yaani ukihisi maumivu yanakuja na kuondoka kwa dakika 3-5 na yanazidi ujuwe kijacho anataka kuwasili unless ni fake labor kama nlivyokwambia awali.....

Kila la kheir mama
 
Back
Top Bottom