Maumivu ya tumbo upande wa kulia

Msinjila89

Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
14
Reaction score
7
Habarini wapendwa,nmekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya tumbo chini ya ubavu upande wa kulia nmeenda hospitali kadhaa nimepigwa ultra sound lakn wanasema hamna kitu,huwa naishiwa kupewa dawa za maumivu tuu.Na kjna kipind kinapotea kabsana muda mwingine kinanirudia yaani hadi ninapoingiza hewa ndani (inhalation) kinaniuma sana.

Nisaidien kwa wanaojua tatzo hilo,
 
that sounds like appendicitis.
Hata mi before nilihis hivyo but walipopiga utra sound wakanambia hakuna tatizo kuanzia figo na hicho kidole tumbo na kwikwi ikinishika kinaniuma saana!
 
Inaweza kuwa ni ovarian cysts, fanya CT SCAN kwa uchunguzi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…