Maumivu ya tumbo upande wa kulia

Maumivu ya tumbo upande wa kulia

Msinjila89

Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
14
Reaction score
7
Habarini wapendwa,nmekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya tumbo chini ya ubavu upande wa kulia nmeenda hospitali kadhaa nimepigwa ultra sound lakn wanasema hamna kitu,huwa naishiwa kupewa dawa za maumivu tuu.Na kjna kipind kinapotea kabsana muda mwingine kinanirudia yaani hadi ninapoingiza hewa ndani (inhalation) kinaniuma sana.

Nisaidien kwa wanaojua tatzo hilo,
 
Inaweza kuwa ni ovarian cysts, fanya CT SCAN kwa uchunguzi zaidi
 
Back
Top Bottom