Hi wana JF,mimi ni mgeni hapa naombeni msaada wenu kwa wenye uelewa wa hili:dada yangu ana tatizo la kuumwa na tumbo usiku.hivi juzi tumechek tukagundua ana ujauzito,so ni wa mwez 1, mchana shwari lakini usiku ni balaa.je ni kawaida au inawezekana akawa na tatizo..natanguliza shukrani