Mrs anasumbuliwa sana na maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu had kulala anashindwa tumeenda hospital wanadai hana tatizo ila ni mja mzito ss mm nawaza hata cjui nifanye nn kama kuna mwenye ushaur pleas help us,xnxxxxx
kuna mabadiliko ya kawaida ya ujauzito yanafanana 9ma dalili kama magonjwa.kwa maelezo yako ni kam2 dalili za UTI.dalili zingine za uti ni homa,kukojoa mara nyingi na udharura wa kukojoa.Nashauri akapime mkojo au amwone daktari wa akina mama
Nimeona mtaalam wa wakina mama,tumepima damu iko nomo,mkojo una few cells na treatment yke wamempatia amoxylyn,na malaria neg,bt tangu prg ianze mwez wa saba ni ful majanga no slipng no anythng ts al abt stomach pains tena kuanzia kitomvun kushuka,xnx 4ua concern
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.