Maumivu ya tumbo

mdudu8

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
21
Reaction score
2
Naomba ushauri,nasumbuliwa na tumbo upande wa kushoto linauma maumivu ya mfululizo na yanafika mpaka kwenye mgongo kwa katikati.ila nimepima typhod sina,u.t.i sina,ila malaria nimekutwa nayo 2.nimekunywa dawa inaitwa oroder.sasa sijui nifanyaje.naombeni msaada plz
 
kama ni kushoto upande wa juu kacheki vidonda ya tumbo.
 
Pole wahi hospital kama waliposema hapo juu inaweza kuwa apendex au aina nyingine ya uvimbe.Ukipasuka unaweza leta tatio kubwa zaidi.
 
Habari wapendwa!

Dada yangu anapata maumivu tumboni mkono wa kulia ni mwezi wa nne sasa kafanyiwa utrasound mara mbili kaambiwa kila kitu kiko okey, lakini maumivu hayaishi yanapungua na kurudi.

Kuna mda aliambiwa kidney iko pale (Kama ina weupe hivi kidogo) akapewa antbiotics lakini tatizo liko palepale.

Tunaomba ushauri ndugu zangu kama kuna mtu anajua tiba au dawa hata kama nikienyeji, yani hatuelewi tumsaidieje.

Dada ana mtoto mmoja tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…