Naomba ushauri,nasumbuliwa na tumbo upande wa kushoto linauma maumivu ya mfululizo na yanafika mpaka kwenye mgongo kwa katikati.ila nimepima typhod sina,u.t.i sina,ila malaria nimekutwa nayo 2.nimekunywa dawa inaitwa oroder.sasa sijui nifanyaje.naombeni msaada plz