Maumivu ya uume wakati wa asubuhi

Mtandaoni

Senior Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
132
Reaction score
64
Tatizo liko hivi, siku moja nikiwa nimelala usiku, kama kawaida ya wanaume ifkapo asubuhi mida ya kuamka uume mara nyingi husimama. Sasa nilijikuta niko tofauti baada uume kusimama nakusikia maumivu makali kwenye uume wangu.

Nikajua ni kwa muda huo tu lakini sasa takribani wiki ya pili sasa bado nahis maumivu yaani kuna mshipa mmoja wa chini karibu na mapumbu ndio panauma zaidi.

Sasa rafiki zangu pamoja na wataalamu kama kuna anayefahamu hii inatokana na nini na labda kuna dawa ya kutumia tafadhali naombeni msaada wa hili.

Sipati ham ya tendo la ndoa kulingana na hii sababu ikisimama sitaweza kuchochea ipasavyo vinginevyo ni shida tu.
 
nenda hospital kwanza then urudi hapa kutupa feedback!!!
 
Siku zote ukipata tatizo la kiafya ni vyema zaidi ukawahi kwanza hospitali!
 
Hospital inakuhusu kama walivokwambia walotangulia. Pole mkuu, Mungu atakujaalia upate dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…