Pole sana ila najua fika hamu uliyonayo.Je mara nyingi huwa kwanza kujua hedhi yako iko sawa sawa? Lakini pia kama unajaribu kufanya katika siku ambazo mimba yawezatungwa. Mie si dokta uweke na siku zako ili watalaam wanapokuja wakupe kitu kizuri cha kufanya.