maumivu ya UUME

maumivu ya UUME

itahwa

Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
97
Reaction score
142
nini husababisha maumivu sehemu za uume? ameshatembea hospitali nyingi na kupewa dawa ambazo mpaka sasa hazijamsaidia chochote na maumivu bado yapo! any specialist unayemjua atakayeweza kutusaidia? au hata ushauri wa kitaalamu juu ya hili swala
 
Aneyeumwa wewe au ndugu yako? Kama ni wewe jazilizia nyama basi au kama ndugu yako muulize

1.Uume unauma tu mda wote au akikojoa?
2.Je anafanya mapenzi mara kwa mara na je anamuandaa vizuri mpenzi wake?
 
Pole sana ila najua fika hamu uliyonayo.Je mara nyingi huwa kwanza kujua hedhi yako iko sawa sawa? Lakini pia kama unajaribu kufanya katika siku ambazo mimba yawezatungwa. Mie si dokta uweke na siku zako ili watalaam wanapokuja wakupe kitu kizuri cha kufanya.
 
Itahwa samahani sana mkuu kwa bahati mbaya nimechangia kimakosa hapo.
 
maumivu yakizidi muone dakitari.
 
Ni vema kwenda hospitali na kuwa muwazi kwa daktari, kumueleza nyendo zako kwa tiba sahihi.
 
Back
Top Bottom