Maumivu ya uume

Maumivu ya uume

hopelife

New Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Nini husababisha maumivu sehemu za uume?

Ameshatembea hospitali nyingi na kupewa dawa ambazo mpaka sasa hazijamsaidia chochote na maumivu bado yapo wakati wote!! any specialist unayemjua atakayeweza kutusaidia? au hata ushauri wa kitaalamu juu ya hili swala.
 
Hujasema ni maumivu gani, Je umeoa je una mpenzi wa mara kwa mara na hamuishi wote?

  • Uume kusimama bila sababu?
  • uume kusimama kila umuonapo mwanamke aua kumuwaza?
  • uume kusimama usiku mzima

Labda nikusaidie kama upo peke yako na Uume kukusimama usiku mara kwa mara
gonga kifundo cha mguu wako wowote wa kulia au kuume pale kwenye mfupa wa kinundu baada ya kisigino tu
kile kimfupa kigonge taratibu usizidishe maumivu kwa mtindo huo mawazo yatapotea na huyo jamaa atanywea mara moja.
ila km ni barabarani potezea mawazo usiwatamani hao wapitao utalikwaa tafuta walo Ugonjwa huo utaisha na hauna Tiba zaidi ya kupiss angalau kwa MasterButton
 
Back
Top Bottom