Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eneo unalolisema zinaishi FIGO. Nenda kamuone daktari GP ambaye bila shaka atakurefer kwa urologist.Ni kamuda kidogo sema maumiv yanaachaga
Nenda hospitali. Ni dalili za awali za kuwa na infections kwenye njia ya mkojo au figo. Yaweza pia kuwa una kidney stonesNdio kaka
Hizo ni gesi mkuu jaribu kutumia dawa ya maji inaitwa ALTAPHAM itakusaidia...Nikijamba ndo unafuu unapatikana