Maumivu ya vichomi kulia na kushoto chini ya mbavu

Maumivu ya vichomi kulia na kushoto chini ya mbavu

janjab

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
172
Reaction score
56
Dr nina maumivu ya vichomi kushoto na kulia chini ya mbavu ambapo ni juu ya tumbo sijui tatizo litakuwa ni nn
 
Subiri baadae kidogo utajibiwa sahv madaktari wetu wapo kwenye majukumu!
 
Ila pia labda ungeweka historia ya tatizo lako
 
Kama una tatizo la umwagikaji kwa wingi wa acid tumboni inawezekana ikawa ni gesi,tueleze unapata dalili gani nyingine ukiondoa hayo maumivu...?
 
Kama una tatizo la umwagikaji kwa wingi wa acid tumboni inawezekana ikawa ni gesi,tueleze unapata dalili gani nyingine ukiondoa hayo maumivu...?
Nikijamba ndo unafuu unapatikana
 
Back
Top Bottom