Waungwana na wataalamu wa JF nisaidieni hili kwa ajili ya mtu wangu,maumivu ya ziwa la kushoto siku 10 kabla ya siku za hedhi yanasababishwa na nini na dawa yake ni nini?
Husababishwa na vichocheo vya mwili, hormones. Kama hakuna uvimbe wowote, hakuna chuchu iliyovutwa ndani, ngozi ya titi kuwa Kama ganda la chungwa
Haina tatizo! Ushauri zaidi Kama una wasiwasi pata kuonwa na mhudumu Wa Afya.