Maumivu ya Ziwa

Maumivu ya Ziwa

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,216
Reaction score
26,225
Waungwana na wataalamu wa JF nisaidieni hili kwa ajili ya mtu wangu,maumivu ya ziwa la kushoto siku 10 kabla ya siku za hedhi yanasababishwa na nini na dawa yake ni nini?
 
hiyo ni sign ya kujua kama amekaribia kubrid hii itakusaidia wewe kwenye upangaji wa uzazi usiogope..
 
hiyo ni sign ya kujua kama amekaribia kubrid hii itakusaidia wewe kwenye upangaji wa uzazi usiogope..

Husababishwa na vichocheo vya mwili, hormones. Kama hakuna uvimbe wowote, hakuna chuchu iliyovutwa ndani, ngozi ya titi kuwa Kama ganda la chungwa
Haina tatizo! Ushauri zaidi Kama una wasiwasi pata kuonwa na mhudumu Wa Afya.
 
Back
Top Bottom