Maumivu

Duwaa

Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
32
Reaction score
6
Habari za muda huu Madoctor wote popote mlipo.

Naomba kuuliza Ninatatizo lakupata maumivi wakati wa mwisho wa kumaliza kukojoa tatizo hili nila muda mrefu kwani linanitokea nakupotea. Lakini kwa kipindi hichi tatizo limekua kubwa kiasi kwamba linapelekea kushinda hata kupata hamu ya kujamiana na mpenzi wangu.

Kwani inafikia hali yakuwa nahamu lakini sichukui hata raund moja nahata mbegu zikitoka naambulia maumivu makali mno. Hiyo ndio hali yangu ilivyo inapelekea hata kujiona muathirika kwani kila dawa ninayo ambiwa inatibu najaribu lakini hali niilele.

Nimekua napata hamu kama msimu kwa msimu lakini sasa hali yangu inanitisha zaidi. Naombeni msaada wenu ndugu wa pendwa.

Mimi ni Ikramu said salimu
Kwenu wapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Ikram Said.... kwa uhakika zaidi nenda kituo cha afya upate vipimo maana inaonesha una UTI sugu au magonjwa ya zinaa.

Usiogope kumueleza daktari na usione ubahili kutoa pesa ili utibiwe.

KUMBUKA: Afya ni MALI.
 
Pole sana Ikram Said.... kwa uhakika zaidi nenda kituo cha afya upate vipimo maana inaonesha una UTI sugu au magonjwa ya zinaa.

Usiogope kumueleza daktari na usione ubahili kutoa pesa ili utibiwe.

KUMBUKA: Afya ni MALI.
Oky na shukuru kwa ushauri wako nakifanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…