Mauridi Baraka Kitenge hivi ni kweli haya? utamshinda king Muswati?

Mauridi Baraka Kitenge hivi ni kweli haya? utamshinda king Muswati?

my web

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1,592
Reaction score
242
Nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa ana wake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. Kwa maisha ya kawaida hapa Tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango wako mkuu.Punguza speed uishi miaka mingi.
 
maisha yake binafsi anaepanga life expectancy ni mungu na si mwanadamu
 
Hyo ni juu yake na dini yake inaruhusu hata wake 100 ww unashangaa sita tuu?
 
Hyo ni juu yake na dini yake inaruhusu hata wake 100 ww unashangaa sita tuu?

kwa mujibu wa sheria za hiyo dini uikusudiayo mwisho wa kuoa ni wanawake wanne tu na si zaidi ya hapo, labda kama kuna mafundisho mapya yameanzishwa tofauti na niliyoyasoma mimi. Ni katika kukuweka sawa tu mkuu wala si vinginevyo.
 
nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa anawake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. kwa maisha ya kawaida hapa tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango wako mkuu.punuza speed uishi miaka mingi

Amezidi kiwango kinachotakiwa (kama hii habari ni ya kweli)
 
Mhhh mnatia kichefu chefu na hizo R na L. hivi Maulid ndio imekuwa Mauridi? Lugha hii mmezaliwa mmeikuta ila bado ni shida kwenu je kiingereza kilichokuja na meli?
 
nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa anawake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. kwa maisha ya kawaida hapa tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango wako mkuu.punuza speed uishi miaka mingi

Huo ni umbeya
 
Kuna tatizo kwanii?
Mwacheni acheeze mechi? awezavyo.
Kama ana wamudu kelele zenu hazisaidi. Kwake.
 
Back
Top Bottom