Mauridi Baraka Kitenge hivi ni kweli haya? utamshinda king Muswati?

Mauridi Baraka Kitenge hivi ni kweli haya? utamshinda king Muswati?

dini ya kiislam
imeruhusu mwisho wake wanne ,tuendelee kuoa mke zaid ya mmoja jaman hawa
wadada ni wengi

wadada ni weng na wanaume wenye kuwatosheleza ni wachache sana! kuliko kuoa weng na kujidhalilisha her uoe mmoja akusetiri aibu yako! kuoa wake weng tuwaachie babu zetu vijana wa kisasa wa kupanda magari, kukaa kwa computer na kula piza usijaribu kuwaiga wazee wa zamani utaumbuka!
 
Ndo maana huwa namwona anafanya mazoezi ya kukimbia sa sita mchana jua kali,..kumbe ana shughuli pevu. Hongera bwana
 
wadada ni weng na wanaume wenye kuwatosheleza ni wachache sana! kuliko kuoa weng na kujidhalilisha her uoe mmoja akusetiri aibu yako! kuoa wake weng tuwaachie babu zetu vijana wa kisasa wa kupanda magari, kukaa kwa computer na kula piza usijaribu kuwaiga wazee wa zamani utaumbuka!

ww umenena ukweli mtupu
 
Nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa ana wake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. Kwa maisha ya kawaida hapa Tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango wako mkuu.Punguza speed uishi miaka mingi.
na bado na zile jinsia zingine anapiga
 
Ni heri ye aliyejiweka wazi kuliko wanaojidai wana mke mmoja lakini huko nje, wake za watu, ma - house girl, watoto washule bora achovye tu.
 
Kwa kiswahili unaitwa 'UMBEA'.
kweli kamani umbea acha uitwe umbea huyu jamaa ni noouma!
Kama wewe unamsaidia kwa kuwaita wenzio ni wambea basi siku yoyote nenda pale guest house ya magati iliyopo nyuma ya HONGERA BAR ndo utafurahi na roho yako,kwa macho yangu jamaa kwa siku anarudi na mutu mara 5? CANT YOU imagine,
hii hali haikubariki bado tunampenda ndugu yetu na nijuavyo dini yetu haisemi ivyo,kwanza ni kuwachfua akina dada mana ni HATAREE!
Namshukuru sana mto mada kajuaje?yeye kasema kaoa sasa sijaelewa kama hata hao wa magati kawaoa?ivi jamani mbona anatutesea dada yetu ESHE muhidini wa TBC?
Na kagari kake keusi full tinted anaona kajifiicha?wapiiii,sie tuna ndugu zetu mitaa iyo bado picha tu.Jirekebishe>
 
Back
Top Bottom