dini ya kiislam
imeruhusu mwisho wake wanne ,tuendelee kuoa mke zaid ya mmoja jaman hawa
wadada ni wengi
hana unoma wowote.....
ni kawaida saaaaaaana kwa dunia ya leo
wadada ni weng na wanaume wenye kuwatosheleza ni wachache sana! kuliko kuoa weng na kujidhalilisha her uoe mmoja akusetiri aibu yako! kuoa wake weng tuwaachie babu zetu vijana wa kisasa wa kupanda magari, kukaa kwa computer na kula piza usijaribu kuwaiga wazee wa zamani utaumbuka!
na bado na zile jinsia zingine anapigaNimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa ana wake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. Kwa maisha ya kawaida hapa Tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango wako mkuu.Punguza speed uishi miaka mingi.
kweli kamani umbea acha uitwe umbea huyu jamaa ni noouma!Kwa kiswahili unaitwa 'UMBEA'.
Kwani wake zake wamekulalamikia hawatimizii.....?