Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

wale ni wahindi wanajoelewa ni kina nani!
zanzibar kuna watu wenye majina ya kiarabu dini za kiarabu wameacha mila zao wana mila za kiarabu ! Tangu lini mtu aliyechanganyikiwa akawa superior!!

kama kujitambua kwenyewe kashindwa😂😂😂
 
Nyinyi muda wote usiku mchana mnawaza Zanzibar, jinchi lenu linauzwa na CCM mumelala
 
Mtakuwa kama Comoros . Ninyi na Comoros hamtofautiani humutawxa kubwa developed
 

Sio utani lakini kuna ubaguzi wa uwekezaji mfano kuna wawekezaji wazawa wengi pale Arusha lakini wakiraka kuwekeza Zanzibar wanaonekana kama wageni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…