Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3 kwa mwaka.

Wale wanaheshimu sana uhuru wa mtu. Huwezi kusikia wamemkamata mtu yeyote eti kwa sababu amekula hadharani wakati wa mfungo.

Mchanganyiko wao mkubwa katika dini, umeifanya Mauritius kuwa ni mahali ambapo kila mmoja kuwa huru, bila ya kulazimishwa kufuata desturi ya dini yoyote:

"According to the 2011 census, approximately 48 percent of the population is Hindu, 26 percent Roman Catholic, 17 percent Muslim, and 6 percent non-Catholic Christian, including Seventh-day Adventists, Anglicans, Pentecostals"
 
Wakiacha ubaguzi wa kidini na kimuungano, kujiona wao ndio watu special kwenye uislamu watatoboa... Lakini kama wataendelea kujiona waislam safi wasahau kutoboa

Maendeleo ya sasa hayahitaji uwe na msimamo 100% katika dini

Wawaangalie wenzao Saudi, Omani, Dubai, Qatar
saudi ni wakoloni wao na wazanzibar ni watumwa wao.Wametawaliwa kitamaduni,kiimani na kifikra,hili jinamizi limewaganda balaa hawachomoki.
 
Back
Top Bottom